Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wa saa kumi jioni ndio wazuri hawa washajichokea unawapelekesha tu,shida ya wale wa saa moja asubuhi huchelewi achwa soremba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wameshaistukia hiyo dili! Walikuwa wanafanya wale waliozaliwa miaka hiyo, hapa Nansio wanawaita ma baby boomers! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…