Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

BaW2kmHFZ3P.jpg
 
Kiongozi.

Hivi ulishawahi kuitazama Filamu inayoitwa NOTORIOUS?

Wameigiza Maisha ya Biggie tangu alipokuwa hajatoka, mpaka kufikia kuwa Msanii Mkubwa sana wa Miondoko ya Kufoka foka.

Wakiwemo Puff Daddy, FAITH, Kundi la JUNIOR MAFIA chini ya Mlimbwende pekee wa kundi hilo ambae ni LIL KIM.

Pamoja ya kuwa wote walioigiza hawakuwa wahusika halisi ila wamejitahidi kwa kiasi fulani.

Itafute hii Filamu ya kuitwa NOTORIOUS
Mkuu sijaiona lakini naitafuta mkuu nitakupata mrejesho
JUNIOR MAFIA
 
Back
Top Bottom