mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Likes za asbhLikes za usiku
WakeKila jambo na wakati
Post na likesToa likes nawe upate likes
Za likesUsiku wa burudani
Wa likesUsiku wa kupeana upendo
Amina mkuuRAY J.
Pamoja sana Kiongozi.
Pamoja ya kuwa nilishakupa jibu, nikaona si vibaya niweke tena hapo juu.
Pamoja sana Kiongozi wangu
Hahahahaha safi sana mkuu
Mia mia
YapI will be missing you.
Yupo yeye FAITH, 112 (Kundi) na Puff Daddy
Faith Evans
Nini tena mkuuNilipatwa na dharura ya ghafla
Pamoja mkuumzee wa liver naendelea na Nukuu zako
Mkuu sijaiona lakini naitafuta mkuu nitakupata mrejeshoKiongozi.
Hivi ulishawahi kuitazama Filamu inayoitwa NOTORIOUS?
Wameigiza Maisha ya Biggie tangu alipokuwa hajatoka, mpaka kufikia kuwa Msanii Mkubwa sana wa Miondoko ya Kufoka foka.
Wakiwemo Puff Daddy, FAITH, Kundi la JUNIOR MAFIA chini ya Mlimbwende pekee wa kundi hilo ambae ni LIL KIM.
Pamoja ya kuwa wote walioigiza hawakuwa wahusika halisi ila wamejitahidi kwa kiasi fulani.
Itafute hii Filamu ya kuitwa NOTORIOUS