Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Tia neno shemeji. Blank quotes hazifai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji817][emoji817][emoji817][emoji818][emoji818][emoji818][emoji818]"uaminifu"nafikiri hii ndio nguzo moja wapo ya mahusiano mazuriMahusiano bila uaminifu ni kama gari bila mafuta.
Unaweza kukaa humo unavyotaka, lakini halitajongea ng'o !!!.
Karibu kamanda Rutta kwenye uzi wako !!!Za jioni
Unajua hata mimi sijui niliandika nini.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeandika lugha gani dogo sijaelewa ujue
Niendelee nisiendelee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani leo watema madini mazuri sana
Yaani umenikuna hadi nimekosa cha kuchangia ikabidi nii quote tuTia neno shemeji. Blank quotes hazifai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh teh nipe storiKaribu kamanda Rutta kwenye uzi wako !!!
KabisaaaNa madini ni mvuto!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhanaUnajua hata mimi sijui niliandika nini.
Hivi vimeo acha nidownload keyboard nying inaweza kukutukana bure
Endelea ila sio paraboz,nipo nafuatiliaNiendelee nisiendelee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nihamie kwenye paraboz.....
Au tubadilishane hivi vimeo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhana
Stori gani? Hapa ni likes tu hakuna cha stori wala nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Teh teh teh nipe stori
Nakuletea iphone x sawa?Au tubadilishane hivi vimeo
Haya shemeji. Mapambano ni sehemu ya muhimu katika maisha - hasa kwetu wanaume!!!Yaani umenikuna hadi nimekosa cha kuchangia ikabidi nii quote tu
Hebu weka maelezo clear unaleta au unarudisha[emoji6] [emoji6]Nakuletea iphone x sawa?
Pambana mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23]Haya shemeji. Mapambano ni sehemu ya muhimu katika maisha - hasa kwetu wanaume!!!