Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usivae tu bila kujua nini kina maanisha kila unachokivaa kwani kinaweza kukuletea shida zisizo za msingi au katika hali ya butwaa kwani Uvaaji wa pete waweza kuchukuliwa kawaida kwa mhusika lakini hali ikawa tofauti kwa watu wanaokutazama. hivyo ni muhimu japo kufahamu baadhi ya maana zifuatazo.
 
Chanda. Uchumba na ndoa, na tafiti huonesha pete hii huvaliwa kidole hiki maana inasemekana kunamshipa wa damu ambao hutoka moja kwa moja moyoni. hivyo mtu akikuvisha ni ishara ya kujiunga moyoni mwako.
 
Tumezowe kuona mama mjamzito akila sana udongo japo pia wapo ambao hua wanakula licha ya kuwa si wajawazito. Yawezekana hawa woote wanakula kutokana na hamu ambayo husikia pasipo kujua kuwa madhara yake ni makubwa kushinda hiyo hamu ambayo uwezo wa kuijuia upo chini ya mtumiaji.
 
Tuanze na Utafiti unasemaje ……
Wanawake wanaokula udongo wakiwa wajiwazito wamo katika hatari ya kuwafanya watoto watakowajifungua kutofanya vizuri shuleni.
Utafiti uliofanywa na shirika la African Council for Gifted and Talented unaonyesha kuwa watoto ambao kina mama wao walikuwa wakitumia udongo hawamakiniki darasani.
 
Mkuu wa shirika hilo Profesa Humprey Obora amewaambia wanahabari jijini Nairobi kuwa utafiti huo umefanywa kwa watoto wanaopelekwa katika taasisi hiyo ambayo hujihusisha kutambua na kukuza vipawa vya watoto wakiwa bado wachanga.
Kwa kawaida wanawake wengi hutumia udongo huo baadhi wakidai kuwa wana upungufu wa madini ila wengi wao huzidisha matumizi yake.
 
Zaidi ya wazazi 4000 walihusishwa katika utafiti huo lakini ni 1000 tu ambao maoni yao yalitumika kuandaa ripoti ya utafiti huo.
Taasisi hiyo ilikuwa ikifuatilia matokeo ya watoto hao wakiwa shuleni kwa muda wa miaka minne na wakatambua kuwa wale ambao hawakuwa imara darasani mama zao walikuwa na historia ya kutumia udongo wakiwa wamebeba mimba zao.
 
Watafiti hao wanasema kuwa kutokana na hayo ubongo wa watoto waliozaliwa hao huchelewa kushika mambo.
Wasimamizi wa mradi huo waliwahusisha wazazi kutoka katika sehemu mbalimbali nchini Kenya ambako kuna vituo vya shirika la African Council for Gifted and Talented.
Kadhalika utafiti huo unaonyesha kuwa wanawake katika miaka ya ishirini huwa na hamu kubwa kutumia udongo.
 
Hili ni tatizo la kupenda kula vitu ambavyo si chakula kama vile udongo, mshumaa, mkaa, chaki, karatasi, kucha, majivu na vitu vingine. Mtu yeyote anapotamani kula au kula vitu hivi kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja endapo umri wake ni zaidi ya miezi 24 kwa maana ya miaka miwili ni wazi kuwa ana tatizo la ugonjwa ujulikanao kitabibu kama ‘PICA’.
 
Back
Top Bottom