Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Mchokozi wewe! Ndio maana hata talaka imeshindwa kutoka! [emoji57][emoji57]
 
ZIPO nadharia zinazokanusha ubantu wa luhga ya Kiswahili. Baadhi ya nadharia hizo ni kama zile zisemazo, “Kiswahili ni Kiarabu”, Kiswahili ni Pijini;” “Kiswahili ni lugha ya vizalia,” nk. Ukifuatilia nadharia hizo kwa makini utabaini kuwa zina kasoro ndani yake kwa kuwa zinakosa uthibitisho wa kisayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…