Kiswahili ni Kiarabu [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️Nadharia isemayo kuwa “Kiswahili ni Kibantu”, kutokana na ushahidi wake ndiyo pekee yenye mantiki na mashiko kwa kuwa inathibitisha ubantu wa Kiswahili kisayansi kwa kuhusianisha isimu ya lugha za Kibantu na lugha ya Kiswahili. Uhusiano uliopo kati ya lugha hizo ndio unaotufanya tufikie hitimisho la kusema kuwa ‘Kiswahili ni Kibantu’.