Kiongozi.Yule Jason Derulo sijui kwanini alimuacha mrembo kama huyu tena aliyetulia na utepe alikata mwenyewe.
Kuna movie nyingine inakwenda kwa jina la straight outta Compton huko utakutana na maisha ya Dre,Ice cube na mnyamwezi wa NWA Eazy E...Pamoja sana Kiongozi