Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

jordin-sparks-webmd-awards-07.jpg
 
Filamu ya Maisha ya Biggie inaitwa NOTORIOUS.

JUNIOR MAFIA ni Kundi ambalo lilikuwa chini ya BIGGIE.

Na kundi hilo lilikuwa na Mlimbwende mmoja pekee ambae ni LIL KIM.

Kwahiyo katika Filamu hii ya kuitwa NOTORIOUS walioigiza hawakuwa Wahusika halisi, yaani kuanzia BIGGIE mwenyewe, FAITH EVANS, PUFF DADDY, kundi la JUNIOR MAFIA, na wengineo wote.

Hicho ndicho nilichokuwa namaanisha.

Bila shaka utakuwa umenipata vizuri sana Kiongozi wangu
Bonge ya movie ilianza kunoga pale bigg small alipo anza kuuza dawa na kutupia code za kigangstar...
 
Back
Top Bottom