Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tano ni matatizo ya kisaikolojia. Maisha hayana budi kubadilika, na mabadiko haya wakati mwingine huwa ni vigumu kuyakubali mfano kupoteza mpendwa katika familia,kupoteza kazi au kwenda kuishi mbali na familia uliyozoea kuishi nayo(kuwa mbali na nyumbani) , mabadiliko haya yaweza kusababisha msongo wa mawazo na sononi. Msongo wa mawazo na sononi hupelekea katika ukosefu wa usingizi.
 
Sita ni matatizo ya usingizi yatokanayo na mguu usiotulia (restless leg syndrome; maumivu ya mguu yahusianayo na mishipa ya fahamu ambayo mtu huyasikia nyakati za usiku) na matatizo ya upumuaji kama kukoroma ambayo huwa ni zaidi katika umri mkubwa.
 
Sita ni matatizo ya usingizi yatokanayo na mguu usiotulia (restless leg syndrome; maumivu ya mguu yahusianayo na mishipa ya fahamu ambayo mtu huyasikia nyakati za usiku) na matatizo ya upumuaji kama kukoroma ambayo huwa ni zaidi katika umri mkubwa.
 
Saba kuishi sehemu zenye kelele nyingi, kama nyumba za starehe zifunguazo mziki katika mtetemo wa sauti za juu sana, karibu viwanda vyenye mashine na mitambo zitoazo miungurumo na sauti kubwa, majenereta ya umeme yapigayo kelele kunaathiri ubora wa usingizi aupatao mtu.
 
Jinsi ya kuboresha usingizi.
Punguza matumizi ya vinywaji vyenye kafeini, pombe na matumizi ya nicotini. Vitu hivi ni vichangamsho vya mwili na huathiri upatikanaji wa usingizi. Vinywaji vyenye kafeini ni vizuri vikitumika katika nyakati za asubuhi.
 
Ni vizuri kwa watu walio na umri mkubwa kupata muda wa kuota jua, au kufanya matembezi juani. Mwanga mweupe wa jua husaidia kurekebisha homoni ya melatonini na mfumo wa kulala-na kuamka (Kwa kitaalam- circadian rhythms). Jaribu kupata angalau masaa mawili ya mwanga wa jua kila siku. Fungua mapazia ya nyumba yako wakati wa mchana na jaribu kuota jua ndani kwako ukiwa umekaa kwenye kiti ukipendacho.
 
Kituo cha kupigia kura Kisumu. Wameziba mlango
78192a479f8713a5aae738f91e5687ac.jpg
 
Jiusishe na shughuli mbalimbali za kijamii, za kifamilia na kazi mbalimbali ambazo zitakufanya usizubae na kuwa mchangamfu wakati wa mchana ambayo itapelekea kupata usingizi ulio mnono nyakati za usiku. Kama ni mstaafu jaribu kufanya kazi za kujitolea, kujiunga na makundi ya waliostaafu au kujiunga na elimu za watu wazima.
 
Mwanga mkubwa wakati wa kulala unapunguza uwezo wa mwili wako kutengeneza melatonini. Kwa asili giza linapoingia watu huanza kuhisi hali ya usingizi inayosababishwa na homoni ya melatonini, homoni inayotufanya tulale. Kama huwezi kulala gizani tumia taa zenye wati ndogo zisizo na mwanga mkubwa inapokuwa salama kufanya hivyo na hakikisha umezima runinga yako, kompyuta angalau saa moja kabla ya kulala.
 
Hakikisha chumba chako kina utulivu, mwanga mdogo au giza na chenye joto linalohitajika (sio joto sana wala sio baridi sana) na kitanda chako ni chenye kufariji na katika hali ya usafi. Tumia chandarua katika chumba chenye wadudu wasumbuao na wasambazao magonjwa usiku, kwa mfano mbu.
 
Tumia kitanda chako kwa matumizi kulala na usitumie chumba chako cha kulala kama ofisi, kuangalia runinga, kuperuzi rununu au kutumia kompyuta ukiwa kitandani. Itakujengea katika ubongo wako kuwa kitanda ni sehemu ya kulala na utakapoenda kwenye kitanda chako utapata usingizi moja kwa moja bila kuhangaika.
 
Ondoa saa za ukutani katika chumba chako cha kulala kwa sababu mtu mwenye tatizo aangaliapo muda unavyosonga bila kupata usingizi, inaweza kumsababishia kuongeza tatizo la kukosa usingizi. Sauti na mwanga utolewao na saa za ukutani vyaweza kuwa visabishi vya kukosa usingizi pia.
 
Hakikisha kabla ya kulala, umekula chakula cha kujiridhisha, njaa wakati wa usiku yaweza kusababisha ukosefu wa usingizi. Zingatia kula mlo ambao ni mwepesi kabla ya kulala. Kula angalau masaa matatu kabla ya kwenda kulala, Epuka kula chakula kingi na chenye viungo kwa wingi kwa kuwa inaweza kupelekea ugumu katika mmeng’enyo wa chakula nyakati za usiku na kukufanya kukosa raha na hata usingizi.
 
Matembezi ya jioni ni tiba nzuri ya tatizo la kukosa usingizi kwa wazee, vijana tuna wajibu wa kuwasaidia wazee ambao hawawezi kwenda matembezini wenyewe. Matembezi ya jioni huwapa mazoezi ya mwili, kupata hewa safi na kufurahia mazingira tofauti na yale ambayo wazee wanakuwa kwa muda mrefu.
 
Back
Top Bottom