Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2d32ad088aeb301ef49ad88877c018ac.jpg
 
Kaandaeitini kamefanya timing ya kufa mtu. Cole hayupo hata akija ni kulalamika tu. Wewe haupo. Yaani binti wa watu kajifaragua weee mpaka naona mwishowe kaanza kulainika. Talaka ilitishiwa mara nyingi na Kaandaeitini kakasema eti katajitolea kulipia gharama zote. Kuna tensheni kubwa. Afadhali umerudi japo Carba naye haonekani. Sijui ndo anafainolaizi divosi hata haieleweki aisee....
Hakuna cha talaka wala Andaeitini kupata mke, vizawadi vyake vya maua tena kajiti kamoja!!! Asilete mambo ya kifilipino hapa.Kama anaweza ahonge ng'ombe 20,au mpunga gunia 100,basi,hata akishindwa maparachichi fusso moja iliyo jaa pomoni.
carba ni wa ghalama sana,lasivyo nabaki nae mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tezi dumeni ile ambayo seli zisizo za kawaida hukua katika tezi ya prostate iliyopo katika mfumo wa uzazi wa mwanaume. Kwa walio wengi, ukuaji wa saratani hii huwa ni wa taratibu ingawa kwa wengine yaweza kukua kwa haraka. Saratani yaweza kusambaa katika sehemu nyingine za mwili,hususan katika mifupa na tezi zinazo husika na kinga ya mwili (lymph nodes). Mara nyingi saratani ya tezi ya prostate huwa haionyeshi dalili yeyote katika hatua za awali. Saratani hii imeonekana kuwaathiri zaidi wanaume wenye asili ya Afrika na Caribbean lakini haijulikani ni kwa sababu gani.
 
Dalili za saratani hii hutofautiana kati ya mtu mmoja hadi mwingine; baadhi ya wanaume huwa hawaonyeshi dalili hadi saratani inapokua baada ya mwaka mmoja, na dalili zinapojitokeza huwa kama ifuatavyo:
Kukojoa mara kwa mara
Mkojo unaokatika wakati wa kukojoa.
 
Mkojo kutoka kwa shida unapoanza kukojoa.
Damu katika mkojo au katika majimaji yanayobeba mbegu za kiume.
Maumivu wakati wa kukojoa au kujamiaana.
Maumivu makali ya mgongo, kiuno mapaja, hususan pale ugonjwa unakua umesambaa katika ogani nyingine za mwili.
 
Back
Top Bottom