Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naona ilikuwa kweli hii ilipelekea kuuwawa kwake
Kiongozi.

Chanzo sio FAITH.

Hasira za PAC mpaka kufikia kurudi na Mashambulizi ya Kinyimbo (Hit them Up) ni baada ya Biggie kutoka na Kibao cha kuitwa Who shot ya?

Mbaya zaidi Tupac aliponea chupuchupu Kupoteza Maisha kwenye Shambulio hilo Tupac alipokuwa Studio
 
You claim to be a player but I f***ked your wife pac bhana
Thug life

COLEWORLDLOVESYOU
 
Kuna skendo ugomvi wa BIG Na Tupac ni huyu bibie
Kiongozi.

Kwa mara nyingine narudia tena.

Ugomvi wa Biggie na Tupac ni baada ya Tupac kushambuliwa kwa Risasi akiwa Studio.

Mbaya zaidi siku ya tukio, BIGGIE na DIDDY walikuwepo humo humo Studio.

Kitu kilichomfanya Tupac adhanie ya kuwa BIGGIE, DIDDY na Kikosi kizima cha Bad Boy kilipanga njama za kumuua yeye Tupac.

Na mbaya zaidi baada ya shambulio la Tupac, Biggie akatoka na Kibao cha kuitwa Who shot ya? ambacho nimeshakiweka hapo juu.

Kwahiyo chanzo ni baada ya Tupac kushambuliwa Studio na kisha Biggie kuja na Kibao hiki Who shot ya?

Ndicho kilichomfanya Tupac ajibu mashambulizi kupitia Kibao chake cha kuitwa Hit them up
 
Back
Top Bottom