mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nzuri kabisa sijui weweHabari yako mzee wa ini
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Kwema bro harakati zinaendeleaWakuu hamjambo. Ijumaa imewakutaje?
Tumshukuru Mungu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Watu wasio julikana,, wametokea kusikojulikana., wanaelekea kusikojulikana,,
Harakati zinaendelea vyema.Kwema bro harakati zinaendelea
COLEWORLDLOVESYOU
AminMuwe Na mchana mwema wote
PouwaBaadaye
Habari yako jakitoo[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Tuko poa, ijumaa mpaka sasa ipo vizuri,Wakuu hamjambo. Ijumaa imewakutaje?
Tumshukuru Mungu
AminEndelea kuomba na kupigania, kwa msaada wa Mungu na nguvu yako ya ndani utapita tu. utashinda.