Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Mke wa star naye staa mpaka watu wanachunguza na pete ya ndoa? Maisha ya ustaa bila shaka ni kazi kubwa japo wengi wanayatamani...hasa kama ustaa wao unaambatana na pesa. Siyo kama mastaa wetu kila siku wanalia njaa !!!
Teh teh tehMke wa star naye staa mpaka watu wanachunguza na pete ya ndoa? Maisha ya ustaa bila shaka ni kazi kubwa japo wengi wanayatamani...hasa kama ustaa wao unaambatana na pesa. Siyo kama mastaa wetu kila siku wanalia njaa !!!