Gordita
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 11,574
- 55,644
Mambo shemShem Lake JAKITOO
Mambo shemShem Lake JAKITOO
So good how is wewe?Mambo shem
Mate wangu!!!Za kwako wewe na "mate"wako[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yego sina imani nae hata chembe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana msimamo wa chura(kutokukihama kisima hata kama kinakauka maji) wa majiniAndjul njoooo huku tufanye sherehe. Dogo kasarenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
he!Hii ni tofauti kwa andjul
tuwaombee majirani...Watu wanne wauawawa katika vurugu za uchaguzi Kenya.
Dah!hali si shwari kenya
Huelewi ama kusudi?Cole usinchezee akili ujue[emoji23][emoji23][emoji23]Mate wangu!!!
Kwakweli maana hali si nzuri kabisatuwaombee majirani...
siasa za watu 'weusi' ni shida..Kwakweli maana hali si nzuri kabisa
Siasa hizi mh!
Pia ukijipenda utapenda na kupendwaukipenda nawe utapendwa