Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Christian Ronaldo alipohijiwa baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya mchezaji bora wa Dunia, aliulizwa swali "ni mchezaji gani unamuhofia zaidi kwa sasa??? Alitabasamu kisha akajibu "kwa kweli huwezi kuwa mnafiki na kuacha kusema ukweli kuwa Ibrahim Ajib Migomba yupo vizuri sanaaa"


[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…