Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nitaenda wapi we pimbi[emoji6] [emoji6]Nakugawa ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mana ushanishinda siku hizi
HahahahaaaChristian Ronaldo alipohijiwa baada ya kukabidhiwa Tuzo yake ya mchezaji bora wa Dunia, aliulizwa swali "ni mchezaji gani unamuhofia zaidi kwa sasa??? Alitabasamu kisha akajibu "kwa kweli huwezi kuwa mnafiki na kuacha kusema ukweli kuwa Ibrahim Ajib Migomba yupo vizuri sanaaa"
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Hata kituo cha vijana waliotelekezwa[emoji23][emoji23][emoji23]Nitaenda wapi we pimbi[emoji6] [emoji6]