Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mfumo wa kinga wa mwili-Hitilafu katika mfumo wa kinga wa mwili, unaweza kusababisha kushindwa kwa mfumo huu kuondoa seli na tishu na za ukuta wa kizazi zinazojijenga nje ya kizazi. Wanawake wenye udhaifu huu wa kinga ya mwili huwa rahisi kupata ugonjwa, na aina fulani za kansa huwa zinawapata wanawake wengi wenye endometriosis.