Epuka vinywaji vyenye kiwango kikubwa cha kafeini, tafiti zinaonyesha kuwa unywaji wa vinywaji hivi kama kahawa, soda, na vingine vyenye kafeini kwa kiwango kikubwa huongeza kiasi cha homoni ya ostrogeni mwilini.
Epuka unywaji wa pombe kupindukia, pombe huongeza kiasi cha ostrogeni mwilini, kwa wanawake wanaochagua kunywa isiwe zaidi ya kinywaji kimoja kwa siku.