Kweli KabisaMtu kaja na jembe, sululu, panga, anachimbua weee hadi kero. Mungu asaidie kusichafuke huku maana tutakosa kwa kupumzikia.
HahahahahaElimu sio shule tu! Hakuna elimu nzuri kama ya ku create!
Nimeonanimeirudisha mkuu
Bado tu
Mpe nguvuPambana
HahahahaMkulu hana mchezo nasikia u1 wa wanawake wa africa wamemfungia kanga kiunoni kwenda kumpa vyake.