Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Labda ukupost alipopita yeye perception ya kuongopewaMmmh huwa mnauongo mtamu sijaona like yako
Labda ukupost alipopita yeye perception ya kuongopewaMmmh huwa mnauongo mtamu sijaona like yako
Sina mifarakano na mtu na sina nia mbaya na mtu..Nakushauri tu ubaki makapuku acha kuleta mifarakano hapa. Awe ni yeye au sio yeye sie haituhusu. Please leave him alone. Mbona wenzio wastaarabu sana na wapo forum yao hata wakija huku wanachat kistaarabu
Si okwi tu ila kwa usajiri waliofanya kwa ujumla kiukweli sina mengi kwa hawa watani zangu.Okwi wa kawaida mno,angekua samata ndo angeitetemesha jangwan
Mkuu kumbe nawe upo activehahahahahahahahaaa
Sina mifarakano na mtu na sina nia mbaya na mtu..
Nilikua tu natoa dukuduku langu.
Upo bibie..
hahahahahahaa namsubiri apa mpaka sasa hivi sijamuelewaMkuu kumbe nawe upo active
Mtu kaja na jembe, sululu, panga, anachimbua weee hadi kero. Mungu asaidie kusichafuke huku maana tutakosa kwa kupumzikia.Nakushauri tu ubaki makapuku acha kuleta mifarakano hapa. Awe ni yeye au sio yeye sie haituhusu. Please leave him alone. Mbona wenzio wastaarabu sana na wapo forum yao hata wakija huku wanachat kistaarabu
Tayari...Dukuduku hapa ni like tu. Nipo nimejaa tele kama pilau la sikukuu
Rudi kwenye research tena mkuu dukuduku lako nimelipata one loveSina mifarakano na mtu na sina nia mbaya na mtu..
Nilikua tu natoa dukuduku langu.
Upo bibie..
Same old kloppWadau za mida
High definition
AsanteBarikiwa
Kataa kama ww sio mnazi/mshabiki wa yanga ulie tukuka..Mkuu na show love tu kwa kuleta uzi makini rudi tena fatilia mwandiko huo.
Ataushikaji wa pen tunatofautiana sana.