Tha real voice
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 898
- 5,317
Nakuona unanyapia nyapia kijanaandjul in da house.
Duuh yanga imeingiaje tena hapa wakati nimetoka kumwambia Numbisa hapo jangwani tupo hali mbayaKataa kama ww sio mnazi/mshabiki wa yanga ulie tukuka..
Ikane yanga hapa tuone..
Naelewa sana mkuuNimesharudi napiga nyundo tu
Kabisa mkuuatuachiagi fursa kama izi
Gonga nyundo hizoGonga likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Ushaanza bhana kidogo tuNakuona unanyapia nyapia kijana
Aiseeeh.Nipo musoma now naanza kunyoosha warembo siunajua wanaume wa dar tupo shamba
Sifa za kijingaNipo musoma now naanza kunyoosha warembo siunajua wanaume wa dar tupo shamba
Ya mwangaSpeed...
HhahaahaNapingana na wanaosherehekea sikuku leo!