myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Acha watangulie..Napingana na wanaosherehekea sikuku leo!
Acha watangulie..Napingana na wanaosherehekea sikuku leo!
Kila day na amani mzaziKua na amani boss tuendelee kufturu likes au vipi..
Mimi au mwingine?!Mmmh huwa mnauongo mtamu sijaona like yako
Isijal njoo na pilau litakuwepo piaKwa sababu utapika biliani na mm situmii.
Una uhakika gani hatulikengoja nipost tu maake hamlike sasa hivi
Alaumiwe Bashite kutuharibia Yanga yetu. Alituletea usimbaDuuh yanga imeingiaje tena hapa wakati nimetoka kumwambia Numbisa hapo jangwani tupo hali mbaya
Piga nyundoMwendo wa nyundo tu
wachache wako activeUna uhakika gani hatulike
Nataka like zakoYa hapa na pale ni like tuu
Ukiwa hai kila siku ni sikukuu [emoji120] [emoji120]Napingana na wanaosherehekea sikuku leo!