Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Yamezima NOAH zetumakinikia
Yamezima NOAH zetumakinikia
watu kama hao wako wapi jaamaniii.... maake mi watu kama hao ndo nawatufuta
Game za home/away head to head
Hahahaawatu kama hao wako wapi jaamaniii.... maake mi watu kama hao ndo nawatufuta
kama hafanani na mimi basi atakua msukumaHapana
Eeeeeeh
Kijana huyo mmmh...
Duuh.Emmanuel Okwi ameingia Dar Kimya kimya kwa ajili ya kusaini mkataba wa kuitumikia Simba sc...kamera za wadaku zimemnasa live bila chenga..... Neno moja kwake.View attachment 530311
Mkuu mbona haina ugumu? Kama kuna ke hapo jirani fuata maelekezo hapo chini, ukiingiza mkono tu pm utaishika.Unajua toka nimejiunga Jf cjawah andikiwa pm, hata cjui huw inakuaje...Ebu jarbun kuniandikia pm jmn...Am serious.
Usinifanyie hivyo bhana,nidanganye tu ukinambia ukweli ntaumia.......
nipe ata kamwongozo kwamba wanapatikana sehemu fulani... yani mimi nitahamia huko wanakopatikana leo leoHahahaa
Hahaaa nimeguatilia post za jembekillo zote na zakwako zote..
Tone zenu za uandishi ni mmoja na kunasehemu umeniambia NASHUKURU kwa kumkumbuka Jembekillo its means that ur him
Mambow my Dada?Nilikua nagawa likes kwa posts zilizonipita.Mark msue
Mkuu na show love tu kwa kuleta uzi makini rudi tena fatilia mwandiko huo.Hahaaa nimeguatilia post za jembekillo zote na zakwako zote..
Tone zenu za uandishi ni mmoja na kunasehemu umeniambia NASHUKURU kwa kumkumbuka Jembekillo its means that ur him
Wamejaa tele insta gramnipe ata kamwongozo kwamba wanapatikana sehemu fulani... yani mimi nitahamia huko wanakopatikana leo leo
Karibu mkuu,lengo ni kila mwana like awe na afya njemaNaomba hiyo ya yutiyai mkuu
Mmmh huwa mnauongo mtamu sijaona like yakoMambow my Dada?Nilikua nagawa likes kwa posts zilizonipita.
aseeeehhhWamejaa tele insta gram
Unatukama kweli maana tupo active ujue ili tufahamu hatima yetu.Hapana
Eeeeeeh
Kijana huyo mmmh...
hahahahahahahahaaaUnatukama kweli maana tupo active ujue ili tufahamu hatima yetu.
Okwi wa kawaida mno,angekua samata ndo angeitetemesha jangwanDuuh.
Hawa watani zangu msimu hujao mbona tutapoteana jangwani.