Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,776
- 126,721
YesMacho hayana pazia ujue!
YesMacho hayana pazia ujue!
Nambie damange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Carba kuja hapa haraka
Hahahah ntakupasua kichwa, hv umenusurika na mafuriko?Nambie damange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naanza kuwa makini na wewe kumbe naweza kuja kulia humuKevin Issaya, BAADA YA KUMDAI KWA MUDA MREFU KANIFUATA INBOX NA KUNITUMIA VITISHO.
[emoji117][emoji117][emoji117]muwe makini na watu mnaofanya nao biashara humu,huyu jamaa kaja analia kashapigwa huko
Man U leo anafungwa vibaya mno.Mfungwe tu[emoji57][emoji57][emoji57]
Nakusalimu nsamakaBob jaman hajarudi tu???
Niko juu ya paa tangu mvua zimeacha acha tu,mwambie andjul aje kunichukua basiHahahah ntakupasua kichwa, hv umenusurika na mafuriko?
Teh teh,kwanza kalipe ile bili ya jana dogo[emoji23][emoji23][emoji23]Naanza kuwa makini na wewe kumbe naweza kuja kulia humu
Hahahha tena ukome kbs, kaa huko huko juu.Niko juu ya paa tangu mvua zimeacha acha tu,mwambie andjul aje kunichukua basi
Wow jirani mpenzi, nakumis sana. Uje unielekeze home kahama sehem gani niqe naenda kuwasalimia.Nakusalimu nsamaka
Unaroho mbaya ka mange[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha tena ukome kbs, kaa huko huko juu.
Mfungwe tu tulale kwa amani maana mna kelele nyieMan U leo anafungwa vibaya mno.
Ya Mange imezidi aisee, nilikuwa sehem moja hv bush balaa hata umeme wa shida. Unapafaham ushetu ww!Unaroho mbaya ka mange[emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima lakini?mbona wapotea hivi?
Hivi jana ulikuwa unanikomoa au laa. Maana si kwa kuspend kule we mwanamke.Teh teh,kwanza kalipe ile bili ya jana dogo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujambo?
We subiri jioni uone mashabaki wa Man u wanalia humu.Mfungwe tu tulale kwa amani maana mna kelele nyie
Me nakaa maporini lakini umeme upo,poleYa Mange imezidi aisee, nilikuwa sehem moja hv bush balaa hata umeme wa shida. Unapafaham ushetu ww!
Mwisho wa mwezi huu shauri yakoHivi jana ulikuwa unanikomoa au laa. Maana si kwa kuspend kule we mwanamke.
Sijambo. hangover imeisha?