Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwi kwi kwi kwi kwi kumbe unaweza kuhonga Ooops! kumpa mtu avatar humu eh!? hahahahahahahah mie nilikuwa silijui hili! Ahsate sana kwa kunifungua macho. Ngoja nianze kuzisaka πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

Yaani hiyo avatar unayoisifia kanipa huyo unayemwambia"embu tulia",yaani leo jiandae[emoji23][emoji23]
 
Huyu bro nimeanza kuwa na wasiwasi naye. Kila siku sisi ndo tupambane. Tunakaribia kuchoka aisee. Itafika mahala hata kama ni talaka umlime tu kwa kweli liwalo na liwe. Ila Yego hatumtaki. Bakia kwenye ukoo wetu !!!
Hata mimi kanichosha kwakweli,yeye sijui hata yuko wapi yaani mimi kila siku napambaniwa na mashemeji mwenyewe yuko hukoooo anakula bataz tu
Yego hata mimi simtaki sasahivi bora nibaki kwenye ukoo tu hata kama peke yangu[emoji47][emoji47][emoji47]
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kumbe unaweza kuhonga Ooops! kumpa mtu avatar humu eh!? hahahahahahahah mie nilikuwa silijui hili! Ahsate sana kwa kunifungua macho. Ngoja nianze kuzisaka πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio hivyo bhana,kuna picha(hiyo kwa avatar)ilitupiwa humu nikaipenda ndio mana nikweka hapo,sio kwamba nilipewa niliiomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…