carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Kwahiyo kukuita imekuwa kosa jamani?hujui kama ndoa yangu yatetemeka?[emoji15][emoji15][emoji15]Umekuwa sitaki nataka kwa Yego
Kwahiyo kukuita imekuwa kosa jamani?hujui kama ndoa yangu yatetemeka?[emoji15][emoji15][emoji15]Umekuwa sitaki nataka kwa Yego
Mh!oh! lala!
![]()
Shida yako hauko creative. Mbali na tani za maua, mvinyo mwekundu na pea ile ya viatu vya mchuchumio sijaona jingine la maana. Kwenye vita huwezi kuwa unarudia mbinu zile zile zinazokufanya upigwe kila mara....Kila nikisarenda limoyo langu linadunda na kunisisitiza kuwa, niache uzembe: Nipambane mpaka kieleweke! [emoji23][emoji23]
Yaani hiyo avatar unayoisifia kanipa huyo unayemwambia"embu tulia",yaani leo jiandae[emoji23][emoji23]Embu tulia, Yego anahangaika hapa wewe! [emoji23][emoji23]
Karibu mkuu....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Lakini Cole yeye mbona hashiriki kwenye vita hivi? Kila siku tunampigania. Why?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naomba nishiriki kumsimanga andaeitini
Heshimu mashemeji zangu basi khaa!mwanaume jeuri wewe[emoji23][emoji23]Ukitia mguu tu nakushusha mnyama! [emoji23][emoji23]
Haya we hangaika. Ukiwa tayari niambie...Embu tulia, Yego anahangaika hapa wewe! [emoji23][emoji23]
Halafu hata huyo anayepigana naye vita anachoka maana anakariri kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shida yako hauko creative. Mbali na tani za maua, mvinyo mwekundu na pea ile ya viatu vya mchuchumio sijaona jingine la maana. Kwenye vita huwezi kuwa unarudia mbinu zile zile zinazokufanya upigwe kila mara....
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]hata sitaki,maua pelekea nyukicarbamazepine, yaani hapa ni mpaka to the moon and back! Kamata hiyo.
View attachment 619298
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Akimuona andaeitini nafsi yake inakuwa kwatuuuu.... Hata simuelewi shemeji yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unamaanisha nini haeleweki?
Yaani hiyo avatar unayoisifia kanipa huyo unayemwambia"embu tulia",yaani leo jiandae[emoji23][emoji23]
Huyu bro nimeanza kuwa na wasiwasi naye. Kila siku sisi ndo tupambane. Tunakaribia kuchoka aisee. Itafika mahala hata kama ni talaka umlime tu kwa kweli liwalo na liwe. Ila Yego hatumtaki. Bakia kwenye ukoo wetu !!!Naangalia huu mpambano kama hivi,kupendwa na mashemeji raha sana ila mume mwenyewe habari tu hanaView attachment 619296