Aaha hapo SawaRafiki yake carba kule chuoni kwao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cc;mashemeji zangu wapendwa wote,kuna mtu anawachokoza huku[emoji23][emoji23]Safari hii nipo radhi kwenda hata Bagamoyo. Huyo kivuruge na awepo tu, nshachoka na mikwara mbuzi. Mpaka kieleweke safari hii! [emoji23][emoji23]
Napendaga ugomvi sana,wee nishirikishe tuShemeji yangu kivuruge atakuwa wapi labda?safari hii nashirikisha mashemeji ohooo[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji101] [emoji101] [emoji101] [emoji101]Safari hii nipo radhi kwenda hata Bagamoyo. Huyo kivuruge na awepo tu, nshachoka na mikwara mbuzi. Mpaka kieleweke safari hii! [emoji23][emoji23]
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]umeona maneno ya yego?Safari hii nipo radhi kwenda hata Bagamoyo. Huyo kivuruge na awepo tu, nshachoka na mikwara mbuzi. Mpaka kieleweke safari hii! [emoji23][emoji23]
Napendaga ugomvi sana,wee nishirikishe tu
Ahsante kwa kunielewa mdogo wanguAaha hapo Sawa
Ila na wewe shemeji haueleweki ujue!!Cc;mashemeji zangu wapendwa wote,kuna mtu anawachokoza huku[emoji23][emoji23]
Pole eeh
[emoji4] AsantePole eeh