myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Utu na uzalendo
Aaaa wapi. Si ajabu hata leo mida ya wanga utaibuka na maua wewe. Mi sikuamini aisee....
Jamaa mwenyewe mpaka leo linadharia lake la relativity bado halieleweki. Alikuwa anafurahisha baraza tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
He was a pure genius. The miracle year (1905) alipochapisha zile papers tatu wakati huo akiwa karani tu kwenye patent office watu hawakumchukulia siriazi. Paper hizo ndo ziliweka msingi wa mambo mengi sana. Mpaka jamaa wa Conspiracies wanadai kuwa alikuwa anaoteshwa haya mambo na aliens usiku ...Ila bhana jamaa alikuwa kiboko! We miaka hiyo unashusha theories kama hizo, acha kabisa aisee! Si unaona hawa wanasayansi wa kizazi chetu wanafanya kuzifanyia proof tu, au muendelezo uleule wa jamaa! [emoji23][emoji23]