Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamaa mwenyewe mpaka leo linadharia lake la relativity bado halieleweki. Alikuwa anafurahisha baraza tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila bhana jamaa alikuwa kiboko! We miaka hiyo unashusha theories kama hizo, acha kabisa aisee! Si unaona hawa wanasayansi wa kizazi chetu wanafanya kuzifanyia proof tu, au muendelezo uleule wa jamaa! [emoji23][emoji23]
 
He was a pure genius. The miracle year (1905) alipochapisha zile papers tatu wakati huo akiwa karani tu kwenye patent office watu hawakumchukulia siriazi. Paper hizo ndo ziliweka msingi wa mambo mengi sana. Mpaka jamaa wa Conspiracies wanadai kuwa alikuwa anaoteshwa haya mambo na aliens usiku ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…