Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*METHALI*
utaweza kutambua methali hizi ni zipi? Hebu chemsha akili kidogo.

1. [emoji122][emoji90]
2.[emoji60][emoji83][emoji149][emoji381]
3.[emoji124][emoji100]
4. [emoji124][emoji219][emoji501][emoji518]
5.⏱[emoji125][emoji777][emoji120]
6.[emoji106]⚰[emoji102][emoji107]⚰[emoji173]
7.[emoji64][emoji216]=[emoji216]
8.[emoji101]⚰[emoji777][emoji381]
9. [emoji104][emoji777]☠
10. [emoji39][emoji654]⚰[emoji653]

Mfano: 7 = mtoto wa nyoka ni nyoka
[emoji23]

Hapa najua watu watatoka sufuri
 

Hahaa... Wakishazaa njemba zinakimbia majukumu, wanakuwa ma single mother tayari! Ila sisi hii race yetu ni shida! Ingawa kuna kuna baadhi ya weupe nao wanafanya hivyo, sisi tumevunja rekodi! [emoji23][emoji23]
 
2. baniani mbaya kiatu chake dawa
 

3.Dalili ya mvua ni mawingu.
4.Fuata nyuki ule asali!
8.Sikio la kufa halisikii dawa
2.Baniani mbaya kiatu chake dawa?
6.Kipenda roho hula nyama mbichi?
10.Mwonja asali haonji mara moja.
 
4. ,fata nyuki ule asali..
9.ulimi hauna mfupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…