Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaa... Wakishazaa njemba zinakimbia majukumu, wanakuwa ma single mother tayari! Ila sisi hii race yetu ni shida! Ingawa kuna kuna baadhi ya weupe nao wanafanya hivyo, sisi tumevunja rekodi! [emoji23][emoji23]
Matatizo yetu sisi weusi yanafanana tuwe Afrika, visiwa vya Caribbean, Haiti, Marekani, Ulaya, Brazil, Australia, Antarctica, Mars...: Uzembe, kulalamika, self entitlements, kuzaa hovyo hovyo, kupenda vya bure, kutojali familia, kugegedana...and the list goes on and on. Hao unamkuta singo maza ana watoto sita. Real?
 
8. Sikio la kufa halisikii dawa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…