Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-28-17-12-50.png
 
Matatizo yetu sisi weusi yanafanana tuwe Afrika, visiwa vya Caribbean, Haiti, Marekani, Ulaya, Brazil, Australia, Antarctica, Mars...: Uzembe, kulalamika, self entitlements, kuzaa hovyo hovyo, kupenda vya bure, kutojali familia, kugegedana...and the list goes on and on. Hao unamkuta singo maza ana watoto sita. Real?

Hahaaa... Ni kweli kabisa! Haiti unaweza kudhani haipo kwenye Western Hemisphere. Umasiki wa kutisha! Kwa migegedo sisi ni namba moja, labda maisha yetu baada ya haya tuliyonayo kutakuwa na mabadiliko! [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom