Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4b81a082f33865602f7b8c69cc916d19.jpg
 
Nipo moud insomnia leo imenikamata balaa....
Za jumapili?
Nashukuru Shem mi mzima, mwanzo niliogopa kukuona ukilanda landa mwenyewe maeneo haya nyakati hizi, lakini baadaye kwa mbali nikamuona mzee wa Koromije akikufuata kwa nyuma. Nadhani anajihami na wavamizi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom