MwanawasuHapo chacha! [emoji1][emoji1]
Siwezi... [emoji5] [emoji5]Usilie sawa eeeh?
Mwanawasu
Msukuma kweli na ng'ombe zangu makumi niishie mmoja? First born wetu aliwahi kufikisha 6 japo wengine walimkimbia. Mimi lengo langu wanne mchungaji akiniruhusu. Wewe utakuwa mke mkubwa. Unasemaje?Kumbe tupo wawili[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sijaelewa. Mtoto yuko wapi?Mwenyekiti, SHIMBA YA BUYENZE hii imekaaje, haki za watoto hazihusiki hapa?
Kaone!Don’t be afraid! You can make me all yours to keep, babe! I’m single and available, all the time! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
Safii kabisa mwanawasu yegoMambo niaje mwanawasu!
Lala salama shemeji....Haya bhana,uwe na siku njema
Nirud kulala mie
Kaone!
Andjul amkaaaaa !!!
Mkuu Andaetini habari yako
Dooohh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] SIWEZI.Msukuma kweli na ng'ombe zangu makumi niishie mmoja? First born wetu aliwahi kufikisha 6 japo wengine walimkimbia. Mimi lengo langu wanne mchungaji akiniruhusu. Wewe utakuwa mke mkubwa. Unasemaje?
Acha angalau Andaetini atumie fursa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nyie wake zangu, laleni. Insomnia za nini? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Come on. Huwezi kuwa mke mkubwa? Ndoa ya mitala huwezi?Dooohh[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] SIWEZI.
Mkuu acha niufunike chini ya zuria, wasije wakapata kiki kwa pikipiki[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtandao gani huo?
Wewe Nsamaka ulikwama wapi mpaka ameamua kurudi kwa mumewe? Tena kwa nguvu?Acha angalau Andaetini atumie fursa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Wote mmekuja pamoja, hajui nani amdanganye na nani amweleze ukweli. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umefurahiii mwenyewe[emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilisema mida ya wanga utarudi. Naanza kujiita nabii kuanzia sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Njema jiraniSalama jirani za wewe