Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

cae573bbcca498a35b9922f4fc64fae7.jpg

Ooh, boy! [emoji23][emoji23]
 
Come on. Huwezi kuwa mke mkubwa? Ndoa ya mitala huwezi?

Anyway. Nitafuata matakwa yako bebi. Usije ukatumia mwanya huo kunitosa. Mandoa ya mitala yalishapitwa na muda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itawezekanaje msukuma akaishi na mke mmoja bila mitala?
 
We fanya masikhara tu, mi nakuangalia tu! One mistake you make, It’s a huge advantage on my side! Right, jakitoo? [emoji1][emoji1]
Haya bana. Ubaya wako hauko specific na unayemtaka. Chagua mmoja umpiganie huyo. Either Carba au Jakitoo.

The Art of War 101. Don't wage too many wars at the same time. This will spread your military thin, depreciate your valuable resources and make your fighting men lose focus and motivation.
 
Hapana, jakitoo hapo kwako amefika. Ila wewe unataka kumzingua na ndoa za mitala. Tuliza boli mkuu, hayo mambo ya akina King Suleimani yameshapitwa na wakati!
 
Back
Top Bottom