Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kwa mara ya kwanza in a long long long loooooooooong time nakubaliana nawe kabisa kabisa!!!
OMG...Haya bhana! [emoji1][emoji1]
Kwa mara ya kwanza in a long long long loooooooooong time nakubaliana nawe kabisa kabisa!!!
Unafikiri ni hivyo? In real life?Bila shaka itakuwa hivyo, lakini kwa siku za karibuni naona KK anakanyaga moto siyo mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] mi simo
Nataka nimfikishe pwani, mrembo kama huyu hapaswi kuonyeshwa pesa, ni kama namnunua, kitu ambacho hakikubaliki. Aje nimfikishe Sadani akaone fisi, simba na pundamilia wanavyooga maji ya bahari[emoji3] [emoji3]Kama pesa zipo wala haina shida...Unataka umuonjeshe mambo ya pwani?
Asee, ujumbe wake umenihuzunisha sana.Aisee ndio maana hatumwoni huku
Duuu, ubuyu wa babu Issa toka Unguja unakuja wenyewe mpaka chmbani!!!?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Jamani jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Unajua kuna ubuyu mwingine unakufuata mwenyewe tena chumbani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una miguuu?Achana na ubuyu wa babu issah kabisa[emoji39][emoji39][emoji39]