Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuepuka kusimama kwa muda mrefu pamoja na kutoiweka miguu katika maji kwa kipindi kirefu. Kama unafanya zoezi la ufuaji, jitahidi kuilinda miguu yako isiwe katika sabuni kwani sabuni nyingi za kufulia huvunjavunja mafuta yaliyo katika ngozi na kuiacha ikiwa kavu sana na kuifanya ipasuke.
 
b39f47728dcb2a05d485f9f1df186300.jpg
 
Likes mia kwa mkupuo utazitoa siku hiyo. Angalia usije tu ukapotea. Mimi kuachia ng'ombe 15 kwa Andjul au kumwachia Uniq amchukue Baby S bure bila mahari itakuwa ngumu ila nitajaribu. Man City watapigwa tu siku hiyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Arsenal amfunge man city dah nitaogelea kutoka mwanza mpka ukerewe
 
Tukianza na kipengele cha kwanza ambacho ni kuhusu maana halisi ya dawa, ndugu msomaji inawezekana kabisa neno dawa siyo mara yako ya kwanza kulisikia, na pindi ulisikiapo tayari kuna picha inayojengeka akilini mwako kuhusu neno au kitu hiki. Dawa ni kitu chochote ambacho asili yake yaweza kuwa ni wanyama, mimea au chembechembe maalumu ambazo zimeandaliwa kitaalamu/kisayansi kwa matumizi ya kuzuia magonjwa,
 
Kabla ya kuanza matumizi ya dawa, ni vyema kufahamu ni wakati gani mtu anahitajika kutumia dawa. Katika hali ya kawaida hakuna mtu anayependa atumie dawa. Ila katika hili huwa mtu kimsingi analinganisha faida na hasara za kutumia au kutokutumia dawa pindi afya yake inapokuwa siyo imara.
 
Back
Top Bottom