Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-27-20-37-30.png
 
MAMBO 10 YA KUFANYA UNAPOKUWA KATIKA HALI YA KUKATA TAMAA

  
furaha ya maisha kukata tamaa
nguvu shukrani ujasiri ‘’Nimekata tamaa sidhani kama nitafanya hiki kitu’’ Kila mtu amewahi kusema hivi katika moja ya njia zake katika maisha. Lakini kabla hujaanza kujisemea mabaya . sema haya mambo 10 ili upate nguvu ya kumalizia yasiowezekana .

1.Hii ni changamoto kwa ajili yako
Ni sawa kukubali kuwa kitu hicho ni kigumu, Hutakiwi kuwa katika hali ya kukataa, kubali changamoto na kufanya uamuzi wa kukabiliana kwa ujasiri na kwa uwezo wako wote.
 
Ukikamilisha makaratasi yote ya ustawi wa jamii na wapi sijui basi njoo unichukue [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

Jakitoo akiona hii nimekwisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bdc4c12af097f3faa46d001bda084aa3.jpg

Kama kuna.....vile!!
 
8.Hapa Kuna mbinu
Weka hicho kitu katika kazi ndogo ili uweze kukamilisha. Kama lengo lako lilikuwa ni Kuweka Duka kubwa liwe na kila kitu ndani, na unaona kama kuchanganyikiwa. Jaribu kugawanya hivyo vitu kila kitu na aina yake , kisha weka watu wakusaidie., Kufanya vitu vyote kwa wakati mmoja unaweza kuzidiwa. Lakini kama ukigawanya utapata nguvu ya kuendelea. Fanya kila kitu kwa wakati wake, hapo ndio utashangaa jinsi utakavyoweza kukamilisha kila kitu .
 
9.Uwe na ujasiri.
Jaribu kubadilisha pozi lako. Kama ulikuwa unaangalia chini kwa kuona kama umeshindwa, Angalia mbele na usitazame watu, songa mbele na utayaona malengo yako yakifanikiwa .. Mtu mwenye ujasiri huwa haangalii watu wanasema nini au wanafikiri nini juu yake . Anachoangalia yeye kila kitu kiwe kwenye usalama . hasa yeye mwenyewe na malengo yake. .
Hakuna mtu ambaye amewahi kufanikiwa kama anafikiria , anaogopa na kuwa na wasiwasi wa kuwa watu watasema nini , watafikiria nini. Hilo ni kosa kubwa kwenye mafanikio.
 
Back
Top Bottom