Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Weka tu wala usijali kabisaa kukumbushiana muhimu sana. Wekeni nyingi ili na lengo la kula likes litimie vizuri. Hata darasani huwa tuna correctionKama Dr. Numbisa alishaziweka hizi hapa natanguliza samahani. Nimezisoma na baadhi yake zina mantiki nzuri japo utekelezaji wake unaweza kuwa na matatizo hasa ukizingatia uhalisi wa maisha tunayoishi
NJIA RAHISI 13 ZA KUWA NA FURAHA KILA SIKU
1. Pata masaa 7 mpaka 8 ya kulala usiku.
Kulala usingizi wa kutosha unapata furaha, utaweza kuwa na nguvu ya kufanya kazi zako , na utakuwa na mahusiano mazuri. Weka simu yako mbali unapoenda kulala, usitumie chakula kingi wakati wa jioni.