Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-27-18-35-39.png
 
Kama Dr. Numbisa alishaziweka hizi hapa natanguliza samahani. Nimezisoma na baadhi yake zina mantiki nzuri japo utekelezaji wake unaweza kuwa na matatizo hasa ukizingatia uhalisi wa maisha tunayoishi

NJIA RAHISI 13 ZA KUWA NA FURAHA KILA SIKU


1. Pata masaa 7 mpaka 8 ya kulala usiku.

Kulala usingizi wa kutosha unapata furaha, utaweza kuwa na nguvu ya kufanya kazi zako , na utakuwa na mahusiano mazuri. Weka simu yako mbali unapoenda kulala, usitumie chakula kingi wakati wa jioni.​
 
Back
Top Bottom