Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

5fc4f79c885623a0c272e308f9fc6f3a.jpg
 
Liverpool inataka Yuro 150m kumuuza mchezaji anayesakwa na Barcelona Philippe Coutinho - ikiwa ni Yuro 50m chini ya dau walilotaka kulipwa baada ya mchezaji huyo wa Brazil kutaka kununuliwa msimu ulioipita (Mundo Deportivo - in Spanish)
 
Hivi hujawahi kujiuliza kwa nini watu wengine wanafanya vizuri na wakati hawana Elimu. Lakini wengi wenye Elimu nzuri hawafanyi vizuri katika mambo mengi? Hujawahi kujiuliza kwa nini unarudia jambo hilo hilo kila mara wakati halina faida kwako? Mimi nimewahi kujiuliza zaidi ya miaka 20.
 
Liverpool itampatia kinda wa Uingereza anayechezea timu ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 17 Rhian Brewster, ambaye alifunga hat-trick mbili katika kombe la dunia , kandarasi nzuri wakati atakapofikisha umri wa miaka 18. (Daily Mail)
 
Back
Top Bottom