Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mashetani Wekundu ni miongoni mwa klabu zinazoaminika kuonyesha nia thabiti ya kumsajili Saul mwenye umri wa miaka 22, ambaye mkataba wake unaweza kuvunjwa kwa dau la paundi milioni 124.
Kwa mujibu wa chanzo cha Hispania Don Balon, United wanaweza kufanya mchakato huo wa uhamisho, kwani wapo tayari kuwaondoa Herrera na Mata - ambao inaaminika wapo kwenye mazungumzo ya mkataba mpya Old Trafford, kwa kuwatoa kwa Atletico kama sehemu ya kubadilishana.