Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1509041804506.jpg
 
Hapo wanaoongoza kwa uzembe wa kukosa usingizi ni:-
1.jakitoo(hata sijui kwanini)
2.carba (chanzo itakuwa ndoa)
3.Numbisa (anashughuli nyingi ila...)
4.Shimba ya Buy...(kisa, kajakitoo)
5.Kichwa Kichafu.(labda lindo)

Hivi,naanzaje kukosa usingizi kwa mfano??? Mijibapa yooote na JF juu....full kujisomea mpaka asubuhi.Kwanini nikose usingizi? (Mwe mwe mwee mnyakyusa mimi hata sijui naeleza nini???) Tujitahidi kulala mapema ili tusilewe sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Stress tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Kitu kama hiki kimeshatokea in real life! Jamaa fulani huko Marekani, weusi hawa; sikumbuki sijui ilikuwa State gani! Wanamuona mwenzao anazama wenyewe wako nchi kavu wampiga na picha kabisa, jinsi alivyokuwa anatapatapa kujaribu kuokoa maisha yake! Jamaa alikufa aisee, so sad!
 
Back
Top Bottom