Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,882
Kwema tu! AlhamdulliahI have a different version of this and ain't pretty.
Kwema Lasagna?
Kwema tu! AlhamdulliahI have a different version of this and ain't pretty.
Kwema Lasagna?
Shida yetu kubwa ni kujilinganisha na wengine mpaka tunakosa kufurahia maisha yetu wenyewe na kuiona mibaraka ya Molla kwetu. Classmate kajenga ghorofa au kanunua Vogue wakati wewe ndo unajenga na unaendesha Toyota Corolla basi unajiona kuwa you are a failure. Kumbe ungekaa na kutafakari vizuri ungeona jinsi ulivyobarikiwa kwa kiwango chako. Ujumbe mzuri sis....
Come on man [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MmmmhKijiji kimoja kipo Mkoan Mtwara 🙂
We haupo Masaki mkuu?Karibu Chilondolo
Safi sana. Kuwa kibonge siyo kilema bana....
Ni kweli kabisaShida yetu kubwa ni kujilinganisha na wengine mpaka tunakosa kufurahia maisha yetu wenyewe na kuiona mibaraka ya Molla kwetu. Classmate kajenga ghorofa au kanunua Vogue wakati wewe ndo unajenga na unaendesha Toyota Corolla basi unajiona kuwa you are a failure. Kumbe ungekaa na kutafakari vizuri ungeona jinsi ulivyobarikiwa kwa kiwango chako. Ujumbe mzuri sis....
Mbona wagunaMmmmh