Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Indeed, so sadKitu kama hiki kimeshatokea in real life! Jamaa fulani huko Marekani, weusi hawa; sikumbuki sijui ilikuwa State gani! Wanamuona mwenzao anazama wenyewe wako nchi kavu wampiga na picha kabisa, jinsi alivyokuwa anatapatapa kujaribu kuokoa maisha yake! Jamaa alikuwa aisee, so sad!