Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2559.jpg
 
Kwanza kabisa kabla ya yote hakikisha una laundry basket (vile vikapu vya kuwekea nguo chafu) hii inasaidia nyumba yako kuwa organized and clean, nguo chafu zote zinajulikana zina hifadhiwa wapi. Unaweza nunua zile za plastic kwenye maduka yanayo uza vyombo vya plastic, na zina patikani katika kila rangi chaguo ni lako. Pia kama unapenda art basi unaweza nunu vikapu vya kuwekea nguo vilivyo sukwa kama mkeka, vingine kwa mianzi etc.
 
Back
Top Bottom