Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usafi wa nguo ni kitu ambacho wote kinatuhusu. Jambo ambalo nimegundua ni kwamba sio watu wote wanao jua kanuni za ufuaji nguo. Niligundua hili kutokana na watu wanao tusaidia majukumu yetu ya utunzaji nyumba ikijumlisha na usafi wa nguo , watu hao wanajulikana kama "house girls". Wengi wao hawajui kanunu za kufua nguo, hata ambao wamezaliwa mjini, tena Dar es salaam na wamekulia Dar es salaam bado hawakujua kanuni za kufua nguo
 
Ila aliingia na mkwara hevi. Bila mimi kujua alienda kwa mama akamjengea kajumba kabisa ka kuonekana mjini karibu na Koromije akampangishia maza akawa anachukua pesa ya kodi. Kuja kushtuka namuuliza maza kama ana shida anasema kwa wakati huo hakuwa na shida ya vitu vidogo vidogo kwa sababu pesa ya rent ilikuwa inamsaidia. Mshangao nilioupata si wa dunia hii....Kuna wanawake wajanja hapa duniani sijaona !!!
Ndoa inatafutwa kwa gharama zote
 
5fc4f79c885623a0c272e308f9fc6f3a.jpg
 
6. Tembea mara kwa mara

Kutembea kwa dakika 30 kwa siku moyo wako utakuwa unafanya kazi vizuri, utapunguza hasira, hutakuwa na chuki. Kama unaona ni ngumu kwako kutembea , hasa kama una gari , jifunze kupaki gari yako mahali mbali na ofisi , tembea . anza kutumia maji ya kutosha. utapata faida nyingi .​
Hii safi
 
Back
Top Bottom