Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-10-27-22-56-24.png
 
Hahahaa bora ulishtuka mapema. Wana dharau haoo
Ila aliingia na mkwara hevi. Bila mimi kujua alienda kwa mama akamjengea kajumba kabisa ka kuonekana mjini karibu na Koromije akampangishia maza akawa anachukua pesa ya kodi. Kuja kushtuka namuuliza maza kama ana shida anasema kwa wakati huo hakuwa na shida ya vitu vidogo vidogo kwa sababu pesa ya rent ilikuwa inamsaidia. Mshangao nilioupata si wa dunia hii....Kuna wanawake wajanja hapa duniani sijaona !!!
 
Back
Top Bottom