Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hahahahaa aisee kuna watu wana mbinu maana hapo kakamata kwa mama ili ukizingua anakusemelea unatishiwa kupewa radhi. Huyo alidhamilia kukugeuza mtumwa wakeIla aliingia na mkwara hevi. Bila mimi kujua alienda kwa mama akamjengea kajumba kabisa ka kuonekana mjini karibu na Koromije akampangishia maza akawa anachukua pesa ya kodi. Kuja kushtuka namuuliza maza kama ana shida anasema kwa wakati huo hakuwa na shida ya vitu vidogo vidogo kwa sababu pesa ya rent ilikuwa inamsaidia. Mshangao nilioupata si wa dunia hii....Kuna wanawake wajanja hapa duniani sijaona !!!